Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Next season kombe linarudi nyumbani SpainHongera zao. Ila Pep aache ubaguzi. Keita alikuwa free Liverpool angemsajili. Tunataka Coulibaly, Eduardo Mendy na Sadio mane City msimu ujao.
Sasa ni zamu ya PSG kuchukua UEFA champions league msimu ujao.
Nimecheka kwa sauti. Ila FIFA ni wapuuz kabisa. Yani hadi Gaudance Mwaikimba anastaafu hajapewa Balloon d'orFifa walivyokuwa wajinga bado watampa Messi ballon d'or
Ndo tumeshakua bingwaaaaaaa!!!!!!Mechi mmeshinda kwasababu ya bahati tu
Wewe ni shabiki wa real madrid, huyo madrid msimu uliopita alishinda vipi kombe?mmeshinda ila ni bahati tu
Ongezaaaaaa sautiiiiiiiiiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Congratulations Cityzens wenzangu. Historia imeandikwa sasa na sisi ni klabu kubwa[emoji838][emoji838][emoji838][emoji838]
Point ni hiyo hiyo sina nyingine ofsaBahati ni sehemu ya mpira so what is your point bro?
Unaitaji bahati kushinda makombeMechi mmeshinda kwasababu ya bahati tu
Jamaa siwaelewi kabisa, pointi zao kana kwamba ni wageni kwenye football, eti bahatiUnaitaji bahati kushinda makombe
Hongera mkuuMabingwa wa ulaya.....finally