The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Hiki kitimu kimeshinda Treble lakini kwenye uzi anachangia mtu mmoja. [emoji23][emoji23][emoji23]
Shabik wa arsenal nioneshe hili kombe ,nikuonesha mbuzi anayetaga [emoji23][emoji23][emoji170][emoji170]
FB_IMG_16864408793568728.jpg
 
Hongereni Man City
Huu ni mwaka wenu ingawa kwa tia maji tia maji!
Klopp anachukua manne mwakani
Man United's 99' season 🆚 Man City's 23' season

◾️ Man City wins ✅
◾️ Man City points ✅
◾️ Man City goals scored ✅
◾️ Man City goals conceded ✅
◾️ Man City Quality of Football ✅
◾️Man City Unbeaten in UCL ✅

Our Treble is far Superior than Yours!
 
Back
Top Bottom