The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

IMG_4109.jpg

Kula chuma hicho
 
We need right winger ,kule bernado anajitahidi but we need right winger ...
 
Mshapokonywa tonge mdomoni

Zamu ya arsenal kubeba treble mwaka huu kaanza na hii
Community shield
 
Unlucky for sure ...

Hiyo late equalizer means arsenal walikuwa na bahati ya kuwin ...

Let's go

Last season tulipoteza community shields hivi hivi Tena Kwa kupigwa 3-1 na Liverpool...

It's not over until it's over ....
 
Foden ni mzuri akicheza kama midifilder,zile turn zake ni za moto ....

Goli la kwanza tumshukuru sana foden ...
 
Unlucky for sure ...

Hiyo late equalizer means arsenal walikuwa na bahati ya kuwin ...

Let's go

Last season tulipoteza community shields hivi hivi Tena Kwa kupigwa 3-1 na Liverpool...

It's not over until it's over ....
Hii ni mara ya tatu mfululizo mnapoteza Community shield
 
Community shield hii tumejufunza ...

We are not good in penalty kick ..

Our goalkeeper can't save penalty ...

We have to train more in penalty kicking ...

Super cup tunacheza na sevila ,na Sheria zimebadilika kabisa ,baada ya dakika 90 hakuna extra time ni penalty kick ,mbaya zaidi tupo hovyo hapo ....
 
Back
Top Bottom