The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Last Monday, Gary Neville said that Tottenham coach Ange Postecoglou only copies Pep Guardiola's style.

Ange Postecoglou was asked today about the idea of the full-back entering the depth in Tottenham, which he is now applying, and he replied sarcastically:

" No.. I just copy Pep's style."[emoji1787]🤍
 
Pain killer bhana upo zako una coment na kujijibu mwenyewe, yaan unajitekenya na kucheka mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Leo tunakaa kileleni
IMG_20230827_150432.jpg
 
Hawa sheffield wanakula kamba 3 tunaenda zetu kupigwa baridi pale juu, wa kututoa ajipange.
 
Toka pep amekuja, tumeshinda mechi tatu za mwanzo wa ligi mara moja tu.

Ndani ya misimu 11 mfululizo, bingwa mtetezi wa EPL kashinda mechi 3 za mwanzo mara 1 pekee.

Leo tunafuta hiyo.
 
Toka pep amekuja, tumeshinda mechi tatu za mwanzo wa ligi mara moja tu.

Ndani ya misimu 11 mfululizo, bingwa mtetezi wa EPL kashinda mechi 3 za mwanzo mara 1 pekee.

Leo tunafuta hiyo.
Kbs uwa tunaanza vibaya sana ligi.. Msimu huu inabid tuwe vzr.

Maana tunatak kujarb tena kubeba treble mfululizo.
 
Back
Top Bottom