The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Huyu shabiki aliyemrukia haaland baada ya kufunga alijiamin nin[emoji3][emoji3][emoji3]
FB_IMG_16931537016379653.jpg
 
ile mentality ya Liverpool sio mchezo angekuwa kocha wa kawaida angeanza kuogopa na kupaki bus kisa yupo nyumbani kwa Newcastle na kashapigwa goli na red card juu ...

Lakin alitulia ,na Allison aliamua kuwa sweeper goalkeeper kwel kweli ,kujiamini ....

Kuna muda unaona kabisa Newcastle wanatumia tu nguvu nyingi Ila tactics za mpira Hawana, huwez shindwa kuwafungua watu 10 wa Liverpool Kama unatimu nzuri kabisa ..
 
Tumepeleka bid ya pili kwa wolves kwa ajili ya matheus Nunes.

Package ni €60 million.
 
Erling Haaland's first season at Man City:

52 goals [emoji460]️
FA Cup [emoji471]
Premier League [emoji471]
Champions League [emoji471]
PFA Player of the Season [emoji294]️
Premier League Player of the Season [emoji294]️

Some people thought it would take him time to adapt.
FB_IMG_16933625216917923.jpg
 
Hapo kwa saka naona Salah angekaa ,arsenal wali give up mapema kwenye league [emoji3]
IMG-20230830-WA0005.jpg
 
Back
Top Bottom