Herzog
JF-Expert Member
- Jul 26, 2022
- 4,129
- 4,859
Anakimbiza huyo, ila maamuzi yake kwenye box ndo huwa anayumba, ngoja tumuoneNgj tumuone kijana wetu leo anavokimbiza.
DOKS[emoji91]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anakimbiza huyo, ila maamuzi yake kwenye box ndo huwa anayumba, ngoja tumuoneNgj tumuone kijana wetu leo anavokimbiza.
DOKS[emoji91]
Hahaha, ngoja tuone.First game first goal ... loading
Naona grealish ana injuryLeo grealish Yuko bench ....
Doku ana u- sterling flani, ngoja tuona atakavyo evolve chini ya pep.Mdogo mdogo Grealish anaweza pokonywa namba Kama Doku akiuwasha
Grealish ukitoa u-ball carrier wake bado kuna vitu hana. Hana utimamu kwenye kufunga lakini pia take ons hafanyi mara nyingi.Doku ana u- sterling flani, ngoja tuona atakavyo evolve chini ya pep.
Kwa pep na amin atatulia.Anakimbiza huyo, ila maamuzi yake kwenye box ndo huwa anayumba, ngoja tumuone
Niliwaambia kule mashabik wa Chelsea huyu akija kwetu World Class ya htr sana.Hii mipasi ya kova mnaiona lakini, jamaa anazichomeka tu.