The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Huyu doku mkimbiaji tu lakini maamuzi zero, inatakiwa apigwe msasa kuanzia kwenye kupiga pasi.
Dg ana wenge la kuimpress kwny Debut yake.

Lkn anahitaj msasa mkubwa sana kama sterling... Maana naona end product yake bado ni Mbovu lkn sio mbya yuko chini ya mtaalam atapata maelekezo.
 
Acha tuweke matokeo, maybe kuna watu hawaelewi kilichotokea.

It's city 5, fulham 1
 
Back
Top Bottom