Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kalvin Phillips anatatizo gani ,mbona kwenye game za England kimataifa anitwa na kucheza ,pale kati anacheza double pivot na rice lakin akija kwetu anakosa hata Namba ....Pep Guardiola on Kalvin Phillips: “We talked with him, the club: maybe the chance to go on loan, because he might not have a lot of minutes. He decided no, he wants to stay - more than welcome…”, as per BeanymanSports.
Ukiwa city utamani kwengine maana makombe yapouelekeo wa cityHivi kalvin Phillips anatatizo gani ,mbona kwenye game za England kimataifa anitwa na kucheza ,pale kati anacheza double pivot na rice lakin akija kwetu anakosa hata Namba ....
Nunez kaja kaingia kwenye mfumo ,..
Kovacic kaja kaingia kwenye mfumo ...
Grealish alichelewa lakin msimu unaofata alikiwasha ...
Doku kaja kaingia kwenye mfumo ...
Sasa huyu Phillips huko mazoezin haoneshi juhudi za kutaka kuanza kucheza ? ...maana pep huwa anapanga kikosi kutokana na training unavoperfom ...
Doku game ya Kwanza tu alianza vzuri lakin anasema kabisa " hajapendezwa na alivocheza maana hajaisaidia team kufunga wa kutoa assist,pep akamwambia ajiamin Jana kafanya mkubwa " ila Phillips sijui anakumbana na tatizo gani ...
Mbaya Zaidi Phillips hataki kuondoka ,anataka kubaki ,na pep kama vile hataki kumkazania kuonesha kiwango ...
WivuUzi huuuuna watu wa wili tu
HahahaWivu
We jamaa umetumwa huku? hebu pita hivi kama hatukujui na mashetani wako wekundu hao wazee wa kugongeshwa kika paitwapo leo, huku sio level yako wasalimie .Uzi huuuuna watu wa wili tu
Huyu jamaa ndio engine yetu kwa sasa, akiumia huyu tutatafutana sana pale kati.Mashine nyingine ya kazi kazi hi apa
[emoji633][emoji146][emoji838][emoji836] Rodrigo Hernánde.z Cascante is Man City's midfield machine [emoji91] In the afternoon game, he completed 113 of 116 passes [ 97% ]
[emoji838][emoji836]. 4 opportunities created by him, 2 of them were dangerous opportunities.
[emoji838][emoji836] He already have 2 assists and 1 goal in 5 appearances in the premier league this season .[emoji838]Know that this man is number 6 [emoji122][emoji122]View attachment 2752113View attachment 2752114
Philips anaamini bado ana kitu cha kuonyesha, atacheza carabao.Hivi kalvin Phillips anatatizo gani ,mbona kwenye game za England kimataifa anitwa na kucheza ,pale kati anacheza double pivot na rice lakin akija kwetu anakosa hata Namba ....
Nunez kaja kaingia kwenye mfumo ,..
Kovacic kaja kaingia kwenye mfumo ...
Grealish alichelewa lakin msimu unaofata alikiwasha ...
Doku kaja kaingia kwenye mfumo ...
Sasa huyu Phillips huko mazoezin haoneshi juhudi za kutaka kuanza kucheza ? ...maana pep huwa anapanga kikosi kutokana na training unavoperfom ...
Doku game ya Kwanza tu alianza vzuri lakin anasema kabisa " hajapendezwa na alivocheza maana hajaisaidia team kufunga wa kutoa assist,pep akamwambia ajiamin Jana kafanya mkubwa " ila Phillips sijui anakumbana na tatizo gani ...
Mbaya Zaidi Phillips hataki kuondoka ,anataka kubaki ,na pep kama vile hataki kumkazania kuonesha kiwango ...
Soon anauzwa Kwa mkopo inaonekana hata mazoezin hajitumi kabisa ....Philips anaamini bado ana kitu cha kuonyesha, atacheza carabao.
Dg naona anafurahia kuvaa medali tu hana presha na maokoto anapata kwnn apate ss presha.Soon anauzwa Kwa mkopo inaonekana hata mazoezin hajitumi kabisa ....
Kazi ipoMahrez vyakula vya huko Saudia vinampa tabu ,sijui kawekewa simu ,Yupo kitandani ..
inaonekana club yao haijui kuhandle wachezaji ..