Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Zinarudi tenaSiwezi sahau pressure mlizokuwa mnatupa aisee [emoji23],
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zinarudi tenaSiwezi sahau pressure mlizokuwa mnatupa aisee [emoji23],
Mkuu...hatimaye umekubali mwenyew, mbon huwap kipaumbele ndugu zako wa london AKA washika magobole wa london.😂😂😂Msimu huu man sitee lazima awe bingwa.
Gadiola anajua, anajua tena😀😀😀
Sisi tunajua tunachofanya, tukimnywa arse8 ndio basi tena, safari itakuwa ishaanza.Mkuu...hatimaye umekubali mwenyew, mbon huwap kipaumbele ndugu zako wa london AKA washika magobole wa london.😂😂😂
Arsenal hata msimu uliopita alituacha point kibao tu ila kilichotekea kinajulikanaSaizii tunataka kuweka record hio kuchukua EPL x4 lakin tumeenda international break ka timu kadogo kama Arsenal kamechukua point 3 mbele yetu ,sasa wamekuwa wakitujazia nzi humu Sana ....
Binafsi nafurahi hiz injury ,zimakuja mapema kabisa ,maana huko January itakuwa msako WA kufa MTU ,UEFA knock out stage ingetukuta katika haliii hii ingekuwa mbaya Sana....
Kufika January naamin kikosi kitakuwa vzuri ...
Haaland kacheza juzi na team yake ya taifa kafunga goli 2 ,lakin kwetu kashacheza game 4 ,0 goal...unataka kusema team ya taifa ina midifilder kama kdb ndio maana kafunga ? Jibu Ni hapana ...Ila kuna kauzembe flani hivi nimekaona
Baada ya kuchukua treble.
KDB tuanze kumsahau kwa sasaUkiangalia Kwa haraka haraka watu wanasema kati ya kdb na rodri Yupi anatakiwa kubeba jahazi ....
Mim nitakwambia kuwa rodri anasababisha tusishambuliwe Sana ,ukiwa na rodri unaweza kuwin game ....
Lakin ukiwa na kdb unaweza kuwin game plus 3 or more goal ....
Kile kitu anachofanya rodri Ni passion tu ,anasoma kabisa Hawa madogo hawataki kufunga anaongea na akanji kaa nyuma ,anapanda juu zaiid kushambulia ...
Ndio maana rodri Hana stats za ku create chance nyingi lakin kdb ndio Kazi yake hio ,chance after chance ....
Hivyo basi hata rodri akija ,ukame WA magoli utaendelea hasa tukiwa tunachezea na team kubwa zenye strong midifilder....
"MTU kama kdb ana individual brilliance ya kubreak midifilder line ya opponent na kuaatack kutoka Katikati ya uwanja mpaka Goli either anapiga shots mwenyewe au akatoa assist " rodri hawezi hivi .....rodri anashambulia Pindi tunapowapossess wapinzani na kuwachezea nusu uwanja...
Game ya Brighton itakuwa ngumu mno ,maana wale Wana mark man vs man ,Haaland atafunga endapo tu atapata cross ,hata game ya mwisho Haaland kawafunga Brighton hivo ,...tofauti na hapo de zerb kutu outsmart na kutuadhibu itakuwa simple tu ....
Kipigo cha mbwa koko😂Wazee wenzangu tukumbushane
View attachment 2782981
Biggest club in the world... MANCHESTER CITYKumbe na nyinyi matakataka mna uzi wenu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28] sasa nyinyi mnautofauti gani na Aston villa