The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Mnamo mwaka 2013 KDB alikuwa Weder Bremen kwa mkopo akitokea Chelsea.

Ilikuwa ni weekend moja ampapo Weder Bremen walikuwa na kipute didhi ya Bayer Liverkusen,baada ya mchezo kumalizika nyota huyo alipost picha yake kwenye ukurasa wa tweeter huku akiwashukuru mashabiki wa Weder Bremen kwa sapoti yao siku hiyo.

Wakati huo KDB hakuwa na wafuasi wengi tweeter hivyo hata likes na Comments hazikuwa nyingi.

Post ile ilipata Likes na Comment kadhaa na miongoni mwa watu walio-Like ile post ni mwana dada Michele Lacroix.

Kwa bahati nzuri KDB aliona ile Like na kuamua ku-view profile ya huyo mwana dada Michele Lacroix.

KDB alivutiwa sana na Michele Lacroix,mpaka akatamani kumtumia ujumbe DM ili apate mawasiliano yake...lakini kwakuwa ni mtu maarufu alishindwa kufanya vile huku akihofia ujumbe wake kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii na kuchafuliwa.

KDB aliamuwa kuomba Ushauri kwa rafiki yake jinsi ya kumpata mwana dada Michele Lacroix,kwani tayari alikuwa kwenye hisia kali na mrembo huyo.

Rafiki yake alishika Simu ya KDB na kum-DM Michele Lacroix....kwa bahati nzuri mwana dada huyu alijibu na kutuma mawasiliano yake na ndo pale mazungumzo yalianza rasmi baina ya KDB na Mrembo huyo.

Mnamo mwaka 2017 KDB na Michele walifunga ndoa na mpaka sasa wawili hao wamezaa watoto watatu mmoja wa kike na wawili wa kiume.

Nb: Siku zote KDB ni mtu wa kutoa assist kwa wengine lakini alipo muhitaji Michele Lacroix alihitaji assist kutoka kwa rafiki yake kipenzi [emoji3]

View attachment 2783707
Hahahaha nimekubali
 
Kumbe na nyinyi matakataka mna uzi wenu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28] sasa nyinyi mnautofauti gani na Aston villa
Jipumbaze hivyo hivyo
Ebu tuonyeshe City inapofanana na Villa
 
Mnamo mwaka 2013 KDB alikuwa Weder Bremen kwa mkopo akitokea Chelsea.

Ilikuwa ni weekend moja ampapo Weder Bremen walikuwa na kipute didhi ya Bayer Liverkusen,baada ya mchezo kumalizika nyota huyo alipost picha yake kwenye ukurasa wa tweeter huku akiwashukuru mashabiki wa Weder Bremen kwa sapoti yao siku hiyo.

Wakati huo KDB hakuwa na wafuasi wengi tweeter hivyo hata likes na Comments hazikuwa nyingi.

Post ile ilipata Likes na Comment kadhaa na miongoni mwa watu walio-Like ile post ni mwana dada Michele Lacroix.

Kwa bahati nzuri KDB aliona ile Like na kuamua ku-view profile ya huyo mwana dada Michele Lacroix.

KDB alivutiwa sana na Michele Lacroix,mpaka akatamani kumtumia ujumbe DM ili apate mawasiliano yake...lakini kwakuwa ni mtu maarufu alishindwa kufanya vile huku akihofia ujumbe wake kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii na kuchafuliwa.

KDB aliamuwa kuomba Ushauri kwa rafiki yake jinsi ya kumpata mwana dada Michele Lacroix,kwani tayari alikuwa kwenye hisia kali na mrembo huyo.

Rafiki yake alishika Simu ya KDB na kum-DM Michele Lacroix....kwa bahati nzuri mwana dada huyu alijibu na kutuma mawasiliano yake na ndo pale mazungumzo yalianza rasmi baina ya KDB na Mrembo huyo.

Mnamo mwaka 2017 KDB na Michele walifunga ndoa na mpaka sasa wawili hao wamezaa watoto watatu mmoja wa kike na wawili wa kiume.

Nb: Siku zote KDB ni mtu wa kutoa assist kwa wengine lakini alipo muhitaji Michele Lacroix alihitaji assist kutoka kwa rafiki yake kipenzi [emoji3]

View attachment 2783707
Ishu siyo kuhitaji assist. Hiyo ishu ya KDB huku kwetu vijana wanaiita domo zege.
 
Nyie si vijana WA hivyo ,mnafikili muda wote uhuni ndio ujanja[emoji23]
😂😂😂 siyo hivyo mkuu. Huenda KDB alikuwa busy sana kuimarisha skills za uwanjani lakini hakuwa na muda wa kuimarisha social skills, kama kuongea na watoto wazuri. Si unajua hata kwenye vipaji mtu hapewi vyote?
 
These bottle jobs are celebrating off a deflected strike as if they have won the title its hilarious. Calm down its still october with 30 games yet to be played.
Stop coiling around with stupid utterances,a goal is just a goal
 
I know its a goal. But it's important to point out that both Trosard and Martinelli goals were deflected strikes.

I do not discredit the efforts but y'all Arsenal fans are noisy.

Although I get it since you were underdogs and receiving 12 consecutive defeats brings mixed feelings innit.
 
We are ready ..
mancity-20231020-0002.jpg
 
FYI, Manchester City didn't win any single game from 1996-2006, Arsenal beat Man City 13 times & 3draws
I know its a goal. But it's important to point out that both Trosard and Martinelli goals were deflected strikes.

I do not discredit the efforts but y'all Arsenal fans are noisy.

Although I get it since you were underdogs and receiving 12 consecutive defeats brings mixed feelings innit.
 
You're yet to loose another 2 games,vs Brighton & Manchester United
We can't loose 3 consecutive game bro ,the lost against Arsenal both player and pep were sad , means our team are ready to fight like hell to get three point in upcoming game ...expect more energy , tactics and desire against Brighton,staff ,players ,and coacher are ready to fight ....
 
Stone is back , expect more skills and creativity in midifilder....

Rodri ---- stone

We are going to win this game with more than 3 goal ....
 
You're yet to loose another 2 games,vs Brighton & Manchester United
We all know Arsenal's script stays in form at the beginning of the season then crumble at the end. Its written in the stars.

Enjoy while it lasts this is your time. Tukutane May pale tukianza kupiga show za kibabe za unbeaten runs.
 
You all don't know one thing. Arsenal ya last season ni tofauti kabisa na hii.
Ile title run imeongeza upevu msimu huu, thus why tunacheza kwa nidhamu sana huku jambo la muhimu likiwa ni matokeo.

Play your cards well, mara hii haitokua kama mara zote. Msije mkakubali tuwaache tena point 8.
 
Back
Top Bottom