goswe
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 4,432
- 5,036
Milner anaaibishwa duuNaona doku amejipata anaburuza watu sio poa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Milner anaaibishwa duuNaona doku amejipata anaburuza watu sio poa
Refa angeiacha ile ya dokuDoku atamuua huyu babu Milner
Mahrez mashine nyingine ilikuwaDoku akijifunza ku-shoot vizuri kama Mahrez atakua tishio zaidi.
Tunamkosi na red sikuiziAkani Kala umeme kuikoa team maana ile counter ilikuwa sio poa ...
Daaa weekend ijayo tuko na man utd pale OT ,Ake ataanza ....shida Ni rodri angekula umeme Tena ,[emoji23]Tunamkosi na red sikuizi
Kuna muda unaona kabisa Haaland anafungua ila hainui kichwa kupiga pasi kwa wakati.Mahrez mashine nyingine ilikuwa
Doku kushot ndo mtihan na hata cross zake
Rodri nidham yake mbov sikuiziDaaa weekend ijayo tuko na man utd pale OT ,Ake ataanza ....shida Ni rodri angekula umeme Tena ,[emoji23]
Halland bado ni mtu sana basi tu mipira michache inamfikia kwenye boksiKuna muda unaona kabisa Haaland anafungua ila hainui kichwa kupiga pasi kwa wakati.
Haaland ule mguu WA kushoto sio poa ,una nguvu balaa ..... Haaland Ni proved striker ,kashafunga Goli z kutosha akiwa sulzburg,dotmund nashangaa wanaosema mpaka kdb ndio Haaland anafungaHalland bado ni mtu sana basi tu mipira michache inamfikia kwenye boksi
Arsenal huwa ananguvu ya soda tu ,ikishafunguliwa pfuuu gesi ikaisha ,hamna maajabu [emoji23]Chelsea bonge moja la. Goliiiiii