Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
.tukutane na kina Marcelo sasa final ....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona Nunes alicheza vzuri game ya mwanzo ...saiz Yuko bench ... Kovacic alitakiwa kuanza Tena ...Mabadiliko 3 leo kwny line up
Nadhan rotation tu kikosini.Mbona Nunes alicheza vzuri game ya mwanzo ...
Stones yupo, rico atakua anaenda juu stones anashika dimba na rodri.Game yeyote aliyoanza Rico na rodri huwa Katikati tunazidiwa ...better Nunes angeanza Rico bado mdogo sana hawezi battle za Katikati kwenye game ngumu ...
Bora angeanza tu Nunes kama Ni hivo ,game ya mwanzo alicheza vzuri Sana ...Stones yupo, rico atakua anaenda juu stones anashika dimba na rodri.
Grealish anafanya tucheze taratibu na at the same time anatuliza pressure ya mchezo na ndo advantage yake kubwa.Bora angeanza tu Nunes kama Ni hivo ,game ya mwanzo alicheza vzuri Sana ...
Harafu Grealish anapoza Sana mashambulizi akipata chance one vs one badala aende moja Kwa moja mbele anarudisha ball nyuma ...doku ndio maana anaonekana kuwa Bora ..