The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Kitaalam Tunaitaje Hii wakuu?😃
IMG_20240418_013906.jpg
 
Aliyekudanganya matokeo mazuri ya mpira ni kutawala ball possession, pass accuracy, shots on target, conners "statistics" ni nani huyo [emoji848][emoji38]
hawa wanahisi uefa ni epl

huku funga 1 weka wachezaji wako golini wakizuia shots mkipata counter mpeleke mpeleke 120 mins

UEFA = Haram Football
 
hawa wanahisi uefa ni epl

huku funga 1 weka wachezaji wako golini wakizuia shots mkipata counter mpeleke mpeleke 120 mins

UEFA = Haram Football
Hii comment ilitakiwa iwe jukwaa la arsenal, sisi tumechukua hilo kombe bila haram football.
 
pep alipo ulizwa ni kwanini inakuwaga ngumu kuchukua, UEFA
Alichojibu ni kutokana na uwepo wa Madrid uko

Kwayeyote anaeijua Madrid hanaga play style nzur wala tactics
chini ya Anceloti wana mpira wao wa uefa uefa nandicho wanacho ki implement hamna mambo mengi wala mba'mba'mba, ila wanakuja wanachapa wanaenda beba kombe lao

mark my words
Well said.
Ngoja nitafute ile video niweke hapa pep akisema hayo maneno
 
Back
Top Bottom