Lukub
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 3,622
- 4,100
Leo imewauma vipi magoli mawili arsenal aliyopewa dhidi ya spurs ,karma is the bitchwakulima washapewa matuta mawili ya kupalilia ukame wa mazao kwenda kwa mkulima wao aliozoea kilimo cha matuta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo imewauma vipi magoli mawili arsenal aliyopewa dhidi ya spurs ,karma is the bitchwakulima washapewa matuta mawili ya kupalilia ukame wa mazao kwenda kwa mkulima wao aliozoea kilimo cha matuta
at least wewe ni mmoja wa arsenal fan upo sincerely
Mkuu sijui mlishindwa kupiga hesabu mapema ,mkaleta mapuuza ...
Mkapoteza game ya Astonvilla mkaona Ni kawaida sanaa 😂....
Kwa MTU anayeona mbali Ile game ya Astonvilla ilikuwa sio ya kucheka na unai kabisa ...
ili mpunguze presha title run inawabidi mpunguze game ya GD na hilo ndilo analowahimiza sana pep kwa vijana wake
mbali na hapo mki draw tu na spurs presha yenu yakushinda nyingi mmechi sawa GD na arsenal itapelekea downfall yenu
Wolves wametukoma leo
The Citizens🤸💙🤍
mkipata quality ST.... DM... LB hapo mtakuwa mabingwa next season maana mnakikosi bora sana youngsters na qualityMpaka sasa tumefumgwa mechi 5. Man City kafungwa 3. Kwenye hii ligi, kufungwa mechi 5 na kuchukua ubingwa si kawaida. Uzuri ni sisi na Arteta ni timu ya kujifunza na inaimarika siku hadi siku. Limebaki suala la muda tu kufika nchi ya ahadi tukiendelea hivi.
Ubingwa tutatia tamati game zijaozu arsenal na utd huko city na spursEPL IPO mikononi mwetu ...Arsenal wao wanacheza huku wanatazama sis [emoji23][emoji23]
Satanic Madrid Corruption football club 😂😂😂