The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Arsenal Ni timu ya kuonea huruma tu ,Hakuna Namna ....

Walicheka na villa ,wakajipa uhakika na ambangile wao "city lazima atapoteza "🤣
 
Early kick off Leo

Naona mashabiki WA Arsenal wote wameelekeza nguvu zote Kwa Fulham ...

Imefika hatua hadi wanamuahidi Leno kununuliwa saaa mpya kama anaweza kupata matokeo dhidi yetu ...

Kina Willian wote washapewa bahasha huko Fulham kuipambania arsenal 🤣...

Nasemaje ......nasemaje ....nasemaje .... Fulham Leo anapigwa kama mbwa Koko
Ft
Fulham 0-4 man city
Toka mwanzo nilisema anapigwa Goli NNE ...

GD na Arsenal zimebaki 2😂
 
Sisi tunashinda ligi Kwa kumzidi Arsenal point ....sio GD ...

Huyo Spurs wanayemtegemea na alivopoteana week hizi mbili nyuma anaenda kupigwa 5+ goal pale kwake ...

Hakuna kupoteza game mpaka may 19 ....bado moja inabidi wazidiwe point na gd
 
KWANZA MMESIKIA MBAPPE NDO ANATUA LOS BLANCOS HUKO

Kazi mnayo mkikutana na front 3 yetu vinny mbapp rodrygo
 
KWANZA MMESIKIA MBAPPE NDO ANATUA LOS BLANCOS HUKO

Kazi mnayo mkikutana na front 3 yetu vinny mbapp rodrygo
Mtafanya mbape apaki basi kama vini,jude na rodri wakati wakina foden wakiginga mali na kuenjoy football ,nyinyi kazi ya wachezaji wenu ni kukaa nyuma kwa uwoga maana ni mentality ya team ndogo.Uviziaji sio tabia ya team kubwa ,unapaswa kushinda kwa ushawishi
 
timu kubwa kama spurs inayofanya timu ndogo kama city ikae nyuma waki parkbus uongo

usiku wa deni ndo ushaingia leo
 
Back
Top Bottom