Narekeremo
JF-Expert Member
- May 20, 2021
- 714
- 755
Goooooooaaaaaaaaaaal! 51' E.Haaland our Brilliant
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa spurs akiendelea kujifanya anaujua atakula cha 2,leo Pep.yupo kimkakati zaidi.Wakaze sasa, haya majamaa yasirudishe
kimoja kinawatosha wakamsimlie ArtetaHapa goal la 2 linahitajika ...
Mkakati wa Pep.leo ndio huo ni kuwaacha wauchezee ila yeye anachokita ni point 3 mhimu.Ila wanashambulia hawa. Mungu tu asaidie dakika ziende haraka mpira uishe
Ila wanashambulia hawa. Mungu tu asaidie dakika ziende haraka mpira uishe
Game tushaua hapa kabaki wolves tu kuchukua kombe Mara 4 mfululizo ...Afadhali sasa. Ila nyongeza dk 10 nyingi kweli kweli