The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Hawa madogo ndo wamedisrupt flow tuliyokuwa nayo, wameingia tu unaona kabisa jamaa ndo wakaamka.

We are in big trouble.
 
IMG-20241127-WA0001.jpg
 
Tumebaki na game 3.
Juventus away
PSG away
Club brugge home

Tuna point 8, mpaka sasa inter ndio anaongoza na point 13 hapo hujahesabu watakaocheza kesho.

Tunatakiwa tushinde bila mjadala hizo game 3 ambapo tutamaliza na point 17 maybe enough kumaliza kwenye nafasi 8 za mwanzo.

Na kikosi chenyewe ndio hiki.
 
Back
Top Bottom