The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Tumebaki na game 3.
Juventus away
PSG away
Club brugge home

Tuna point 8, mpaka sasa inter ndio anaongoza na point 13 hapo hujahesabu watakaocheza kesho.

Tunatakiwa tushinde bila mjadala hizo game 3 ambapo tutamaliza na point 17 maybe enough kumaliza kwenye nafasi 8 za mwanzo.

Na kikosi chenyewe ndio hiki.
Hapo labda mpate draw kwa Brugge tu hao wengine lazima mchezee kichapo. Kwenye ile top 24 mkiwepo ni bahati
 
Haya mrudi kwenye Timi zenu sasaaa🤣🤣🤣🤣Shabiki wa man city wa kweli labda mtoto wa 2005.. wengine wote mliletwa na upepo wa ushindi na makombe. Jitu la 1990 shabiki wa man city wew ulisikia wapiii.
Sasa wewe una uhakika gani humu kuna "jitu la 1990"?
 
Haya mrudi kwenye Timi zenu sasaaa🤣🤣🤣🤣Shabiki wa man city wa kweli labda mtoto wa 2005.. wengine wote mliletwa na upepo wa ushindi na makombe. Jitu la 1990 shabiki wa man city wew ulisikia wapiii.
Hata mimi huwa nawashangaa sana mashabiki wa Man City na Chelsea. Sijawahi kuelewa ilikuwaje hadi wakaanza kuzishabikia hizo timu.
 
Football is soo strange.

Utashangaa tunaamkia kwa liverpool.
Liverpool zipo nyingi labda kama unamaanisha Liverpool Montevideo ya Uruguay ila kama unamaanisha hii Liverpool ya Merseyside ya Arne Slot jiandae tu kuzuia goli zisiwe nyingi ili kuepuka aibu.
 
Haya mrudi kwenye Timi zenu sasaaa🤣🤣🤣🤣Shabiki wa man city wa kweli labda mtoto wa 2005.. wengine wote mliletwa na upepo wa ushindi na makombe. Jitu la 1990 shabiki wa man city wew ulisikia wapiii.
Kwa mimi wa 2004 natakiwa kuwa team ipi napo?
 
Hawajielewi tu hao

Pumbavu zao
Watu wanashangaa mtu kushabikia City ila ukiwauliza wao walianzaje kushabikia timu wanazoshabikia na wao wanapita mulemule.

Sasa mtu unabaki kujiuliza hapo sasa cha ajabu ninini?
 
Ndani ya mechi 6 tumefunga magoli 7 tumefungwa magoli 17.

Even manjesta at their worst hawakua hivi asee.
Nafikiri hii ni the worst defence kwenye carrier ya pep.

Na ni bora tungekua tunafungwa ila nasisi tunafunga ya kutosha.

We are in trouble.
This time round maji lazima mtaita mma😂
 
IMG-20241127-WA0003.jpg
 
Back
Top Bottom