The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Msimu uliopita ambao ndio tulimuuza palmer, alikua kashaanza kuonyesha kabisa anakuja juu.

Game ya ngao na arsenal anapiga bonge la goli.

Game ya supercup tumepigwa 1-0 na sevilla anaweka header tamu sana ngoma 1-1.

Siku chache baadae nashangaa kauzwa.
 
Huku hawa kinadada hawajakaa kinyonge 🔥🔥
IMG-20241208-WA0002.jpg
 
Game saa 5.
Hapigwi mtu leo mkuu, wala droo hakuna.
Kumbuka mechi 8 mfululizo, ushindi 01, hivyo uwezekano wa kukosa ushindi ni 90% kwa City.
Kumbuka Juve hajafungwa hata mechi moja msimu huu kama sijakosea.
 
Kumbuka mechi 8 mfululizo, ushindi 01, hivyo uwezekano wa kukosa ushindi ni 90% kwa City.
Kumbuka Juve hajafungwa hata mechi moja msimu huu kama sijakosea.
Alipigwa 1-0 na Stuttgart.

Juve hapo alipo ana winless streak ya game 4 pia usisahau.
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Back
Top Bottom