The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Timu ndogo kama hii mnashindwa kupata matokeo kwa wepesi, jumanne mtapokea kichapo kizito toka kwa Real Madrid kuzidi kile ambacho Arsenal aliwazawadia wiki iliyopita.
 
Timu ndogo kama hii mnashindwa kupata matokeo kwa wepesi, jumanne mtapokea kichapo kizito toka kwa Real Madrid kuzidi kile ambacho Arsenal aliwazawadia wiki iliyopita.
Mpira wa kukariri ndio huu.
Madrid hiihii au madrid gani?

Hiyo game wote wabovu jina la timu lisikutie upofu.
 
IMG-20250208-WA0007.jpg
 
Tukiendelea kuweka pressure nadhani tutapata kitu, orient wametumia nguvu mno ku defend sioni wakikomaa na energy hihii kwa hizo dakika 45
 
Msimu huu ni kama tumekuwa destined kufeli.

Mtu analetwa kuja kuleta depth kwenye midfield then anaumia ndani ya dakika 20 za debut yake, tunarudi tulipokuwa 😂
 
Back
Top Bottom