The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Title race ya msimu huu inahusisha timu ambazo hata nazo hazijui zinataka nini.
 
Predicted line up.


Marmoush__Haaland__Savinho


Silva__Nico___KDB


Gvardiol__Dias__Ake_Khusanov


Ederson
 
With two strikers, nafikiri itakuwa busara zaidi kutumia long balls kama siku ya newcastle badala ya kung'ang'aniza kupita katikati.
 
Gvardiol alitolewa kamasi na Mbappe na wenzie, leo tena anakutana na Mo, kazi anayo.
 
Recently, liverpool wamekuwa waki struggle sana kwenye kudefend transitions.

Kwa hivyo Sitoshangaa Doku akianza leo
 
Doku in
IMG-20250223-WA0003.jpg
 
Possession tuna 70% kwa 30%
On target 3 kwa 1

Inajirudia tu kama first game isipokuwa hii tunajitahidi kufika golini
 
Back
Top Bottom