The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Hawa liverpool nao moto umekata basi tu ni vile wamekuwa clinical golini.
 
Hawa liverpool wangekua wanafukuzana na opponent anaejielewa kombe wangelisikia kwenye bomba.

Ni wachovu mbele kati na nyuma.

Kitu pekee kitakachowatoa na point 3 ni kutumia nafasi zao vizuri.
 
Huyu doku nae angekuwa na end product nzuri angekua winga mtata sana.
 
Kwakweli timu imezeeka hii.

Summer kutakuwa na spending spree nyingine, sasa hivi tukomae na top 4
 
Khusanov huyu ndio aina ya ma center back city tulikuwa tunawakosa siku zote.
CB mwenye kasi.

Amekua na game nzuri leo.
 
Sijui tumepatwa na nn? Kila siku ni kuporomoka tyuuh.
Inakera, [emoji22][emoji22][emoji22]
 
Back
Top Bottom