The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Yaya yuaja kaka labda utarudi kwenye momentum nzuri.

mkuu leo nimekumbuka ile gemu yetu ya champions league dhidi ya BvB ni noma huyo sturridge nilifurai baaya kuona alipofunga kaumia.. ndio ika pona yetu..
 
Dah wanatamani Baloteli arudi khe khe mkhe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Dah wanatamani Baloteli arudi khe khe mkhe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

jamaa kishaanza kwa kutupia goli mbili zilizo ipeleka milan hadi nafasi ya nne..

tunahali ngumu sana pale kati hakuna mwenye nguvu kama yaya uje nyuma vinny kompany ndio mambo yote yani acha tu..
 
habari ya wewe naona manati umeimisi balaa...

EEEh bana eh goli la Aguero lilikuwa tamu kweli kweli, tatizo la timu yenu hamjui kuwatumia wachezaji angalia chacha Baloteli anafanya mauaji kule Italy ...... ...naona mwaka huu hamtalala manchester itabidi muhame mji .... ..... .... ..

BTW hongera kwa kutoa sare na hongera kwa kushangilia kuzaliwa kwako, njoo Alaska nitakupiga bia kidogo .... ... usimwambie ntu ... ... khe khe khe keeeeeeeeeeeeeeeee
 
SOUTHAMPTON-SPLASH_1670401a.jpg



Taratibu mnaanza kuwapisha watu kwenye nafasi zao
khe khe khe khe he khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeee
Ndio EPL hiyo ..... ..... pi pi pi pi piiiiiiiii
 
BARRY_1670390a.jpg



Birthday boy yuko wapi leo?
Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Comedy ya soccer inaburudisha mno! Hart & Barry vunja mbavu ile mbaya leo ..
 
hawa Man city sio wabaya kabisa tatizo Coach hajui kuipanga timu nilisema tokea season iliyopita lakini fans wengi walipinga, huezi kuwa na timu kama Man city halafu unashindwa kushinda timu kila idara imetimia tokea golini mpaka ushambuliaji lakini mbinu hakuna
mwaka huu watalisikia kombe bombani tu na EPL inakuja na utaratibu wa matumizi sijui itakuwa vipi?
Mi naona tatizo ni kocha, anafanya mabadiliko wakati mambo yakishaharibika. Barry alishapwaya tangu mapema, lakini kamuacha mpaka mwisho.
 
poor coach brought poor results wapi tevez wapi rodwell wapi scot sinclear wapi richardson wapi nastinic..
kwa gemu ya jana southsampton walideservr kushinda jana city walicheza kama wamebemendwa na hapa kinachotakiwa ni huyu mancini kutafuta pakwenda naona anawaharibu wachezaji kwa kuweka matabaka..

thats football ukicheka sana ipo siku utalia sana barry kashindilia msumali wa mwisho kazi tunayo..
 
SOUTHAMPTON-SPLASH_1670401a.jpg



Taratibu mnaanza kuwapisha watu kwenye nafasi zao
khe khe khe khe he khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeee
Ndio EPL hiyo ..... ..... pi pi pi pi piiiiiiiii

kushuka nafasi ya pili itakuwa baadae sana ila kuchukua ndoo ni kudra za mnyazi mungu tu..
 
Back
Top Bottom