The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

hivi Chelsea wanatafuta ushindi wa nini wa kuchukua ubingwa, nne bora, kumponya Benitez na kitanza cha Roman au kumharibia City dhidi ya United
 
hii penati ya lampard wanairudi kwa kuwa jamaa huwa hakosi mara kwa mara mpaka imempa sub bwana..
 
mpaka sasa hivi city wamejaribu mara 15 na chelsea mara 3 na penati moja waliokosa ikiwemo..
 
sub city
kun aguero out nasri in
silva out lescott in

Dk 90+4 city 2 - 0 chelsea
 
Full Time City 2 - 0 Chelsea ni yaya toure na carlos tevez wamefanya wiki endi kuisha poa sana..
 
Back
Top Bottom