Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kagoli ka mwisho kalikuwa katamu sana
Full time everton 2 - 0 city
mancini must go where is kompany where is aguero sijui anataka nini..
Naona Leo mmeolewa viwili. Moyes mbaya haa haa
kama unajua mpira hata haushangai ni kawaidi kufungwa kuota droo na kushinda..
Kuna nyakati za kuongea hivyo. Lkn kwa nyakat hz za lala salama aaah Habari hy yk mpya. Anyway ckio la kufa halisikii dawa. Man city down down down
Naona Leo mmeolewa viwili. Moyes mbaya haa haa
soon tu tutakuwa up up up hapo ndio inakuwa mbaya sana kusafiria nyota ya mwenzako..
Everton msimu wa jana walitubania na kutuharibia mbio za ubingwa. Lakini msimu huu naona wametutengenezea mazingira ya kuchukua ubingwa.