ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,767
- 6,575
Mancini kimeota nyasi, goli la pili la Tottenham lilikuwa bomba sana.
na bora aaondoke..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mancini kimeota nyasi, goli la pili la Tottenham lilikuwa bomba sana.
itakubidi usubiri miaka 40 mengine kupata ubingwa tena wa EPL
Wewe muda si mrefu ulikuwa unashangilia City, sasa hivi umeigeuka?itakubidi usubiri miaka 40 mengine kupata ubingwa tena wa EPL
Wewe muda si mrefu ulikuwa unashangilia City, sasa hivi umeigeuka?
na bora aaondoke..
miafrika ndivyo tulivyo..
Kuweni na subira bado anayo nafasi ya kuchukua FA. Kuna wengine hali yao mbaya zaidi hata Top four hawana matumaini nayo ndo mana leo wameungana nawe ili Spurs ifungwe
Full time spurs 3 - 1 city japokuwa tulikuwa tunaongoza..
Natamani ubingwa tukatangazie Emirate
RVP anapaswa awafunge Aston Villa kesho,tukienda Emirates apewe Guard of Hunour ​kutoka kwa Wenger na watoto wakeNatamani ubingwa tukatangazie Emirate
Wewe muda si mrefu ulikuwa unashangilia City, sasa hivi umeigeuka?
mwakani tunalichukua....