Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Roberto Mancini amefukuzwa kazi tangu jana hayo mengine ni formalities tu.
Brian Kidd ndie kuanzia kesho ataongoza timu na hata Jumaane wakicheza na Reading haidhaniwi kama Mancini atakuwa na timu.
Mancini alikwishafahamu kwamba muda wake pale Man City ulikwisha na hata zile comments zake kwenye Media za kukosoa baadhi ya watu wake ndizo zimetupa pembeni.
Hata hivyo anaondoka akiwa ni tajiri fulanio hivi.
Manchester City ina wachezaji wengi matajiri kiasi cha Mancini kushindwa kuwamudu kinidhamu na kuwaongoza.
Huyu Pallegrini ambae ana asili ya Chile ni meneja mzuri ukizingatia mwaka huu timu yake ya Malaga iliweza kucheza robo fainali ya CL kwa mara ya kwanza.
Nafikiri msimu ujao Arsenal tunawangoja tushindane kisawasawa maana na sisi pesa yetu ya benki inatosha kufanya usajili wowote ule.
hahahaha haya nakuacha umeanza uchokozi sasa,yaani nimehamia mtaa wa 7 au basi wasione wa2 na usiwakumbushe.thanks much muzee wa saba bila ndio mpira huo mkuu..
hahahaha haya nakuacha umeanza uchokozi sasa,yaani nimehamia mtaa wa 7 au basi wasione wa2 na usiwakumbushe.
Pole ulikuwa msimu wa shetani kwako,haya labda Babu Fergie anaondoka atawapa mwanya na nyie kutamba na meneja wenu mpya mtaemchukua.bora hata vibibi wametoa kimasomaso maana ulikuwa bad season to me aisee.. pamoja..