The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Hongereni wakuu nasiki Company majeruhi tena kulikoni .... ... . ila Aguero lazima apumnzike mechi tano zinazofuata tik tak tik tak .. ....... .....
 
huu ushindi mnonu sana wa ugenini ligi kuu kwa upande wetu city....
FULL TIME: West Ham 1-3 City. The Sky Blues claim their first three points on the road this season! Reaction to come.
BW9bLLxCAAAWqRU.jpg
 
City wana tatizo kwenye beki 3 kwa sasa. Magoli mengi yanatokea upande huo.
 
Hongereni wakuu kwa kuwabangua West Ham walikuwa wachovu sana, Aguero alikuwa anatungua magoli, no marking at all .. .... .... ndio chababu mkikutana na ving'ang'anizi mnacheua .... .... .... ....
 
 
Back
Top Bottom