Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
February Mwakani sio mbali, mtaanza kwenu kisha kipigo kikali mtazawadiwa pale CAMP NOU. Lionel Messi atakuwa amepona katikati ya mwezi wa kwanza.
sisi ni the citizens tunakipiga tu na tuta wapiga kama bay walivowafanya msim uliopita tena we are blue city..
hata bay waliambiwa vivo hivo wakapita..kwa kuwa mpira unadunda mnaweza mkabahatisha kupata ushindi Etihad ila kule Camp Nou ndipo safari yenu itaishia.
hata bay waliambiwa vivo hivo wakapita..
Munich waliitoa Barcelona kwa mambo makuu kadhaa.
1. Beki za Kati za Barca zilikuwa majeruhi ikiwemo Mascherano na Puyol, mpaka tukaamua kumpanga Marc Bartra, ni bado kinda sana ukilinganisha na team anayokabidiliana nayo na uzoefu wake ktk mashindano makubwa.
2. Mfalme alikuwa bado hajapona vizuri ndio maana Game ilipoisha ikabidi atibiwe tena mapema.
3. Bayern ni team pekee iliyokamilika kila Idara, yaani unaweza ukawapanga wachezaji wa Sub na wakapiga mzigo kama kawa.
Ikitokea Man City akawakabili Barcelona kipindi ambacho wapo kamili bila matatizo yoyote basi tutegemee palepale Etihad Man City anaaga mashindano.