The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Poleni sana fans wa man city, mlikuwa mnacheza wanaojua mpira wala msiumie sana. Hii ndio barca bhana "more tha a team"
 
If you can't beat that poorly performing Barca at home, then you are shit!

Of course, that's a character of a wee club that can't even have sold out tickets in their biggest game in club's history. It is funny that this wee club wants to expand the stadium.

If you can't have a full capacity (60k seats) versus Barcelona (today 46k only), it is stupid to think of expanding the stadium. I guess the expansion is for catering concerts space in Manchester!!!!
hiyo ni mipango ya club na itatimia tu soon na kingine barca imepata ushindi baada ya kadi ya demichelis na uhakika kama sio ile kadi tungewafunga basi tu refa kaamua kuwapa penati lakini ile ilikuwa ni nje kabisa ya 18 sio mbaya tutaenda kuwa tolea kwao..
come on city
 
Kawaida mkizidiwa ufundi, blame it on the referee

But the statistics tell a different story
5 Barcelona players had more than 100 touches on the ball, Xavi 144, Fabregas 123, Iniesta 110, Basquets 108 and Messi 103

Compare that to Manchester City's and it's embarrassing, Yaya 72, Silva 62, Fernandinho 40, Negredo 32 and Navas 28

Barca made a total of 753 passes to City's 325, now how is that a referee's faulty?

Why did Manuel played Demichellis after all? The penalty is clear so is the red card

Graham Poll, one of the experienced retired referee wrote
"In my opinion contact continued until at least the line marking the penalty area and further, meaning awarding a penalty was a correct decision"

And we are to believe that Mr.Manuel is calm and collected, classy and gentle, what about the astonishing attack on the referee after his team was outplayed by a "weak Barcelona?"

cc; [MENTION=81750]ALEYN gutierezi, EMT
 
Last edited by a moderator:
hiyo ni mipango ya club na itatimia tu soon na kingine barca imepata ushindi baada ya kadi ya demichelis na uhakika kama sio ile kadi tungewafunga basi tu refa kaamua kuwapa penati lakini ile ilikuwa ni nje kabisa ya 18 sio mbaya tutaenda kuwa tolea kwao..
come on city

Hapana mkuu ile ilikuwa penat halali ilikuwa ndani ya penat box na pia ni straight red card halali kabisa coz Demichelis alikuwa mtu wa mwisho na ilikuwa attack from back na mbaya zaidi hakuugusa hata mpira.
 
Binafsi naamini ile penalty ingekuwa upande wa pili ingevutwa nje na pia sikuona sababu iliyomfanya mwamuzi aache ile faulo kabla ya tukio la penalty, nilitegemea Jose Mourinho atoe tamko la 'unicefism' lkn nadhani umri umesogea sasa na mdomo unachambua matamshi. Kiujumla mwamuzi alionesha dalili za kutomudu kasi ya mchezo mapema sana kwa mafilimbi mengi yasio na ulazima. Ijapokuwa barca waliwazidi sana city kimchezo lkn tulitaka haki ionekane ikitendeka.
 
hiyo ni mipango ya club na itatimia tu soon na kingine barca imepata ushindi baada ya kadi ya demichelis na uhakika kama sio ile kadi tungewafunga basi tu refa kaamua kuwapa penati lakini ile ilikuwa ni nje kabisa ya 18 sio mbaya tutaenda kuwa tolea kwao..come on city

Mtu wa kulaumiwa hapa ni kocha wa Man City.

The moment I saw Demichelis in the start-up line, nilijua lazima atakuwa liability.

That guy is the biggest liability hasa kwenye mechi kubwa. Sijui huyo kocha anampendea nini. I would have expected Lescott to play.

Pia hii ilikuwa mechi ya Milner kucheza b'se huwa ana-back track. You saw alivyombana Hazard kwenye FA cup.

Unakumbuka enzi za Ferguson, alikuwa anamweka bench Jo Sung Park, lakini kwenye mechi kubwa ilikuwa ni lazima acheze. Unadhani ni kwa nini?

Hata Silva nina wasiwasi nae sana. Very good player wakati timu yake ikiwa na mpira lakini, useless wakinyang'anywa mpira. Sort like Mata na Ozil.
 
If you can't beat that poorly performing Barca at home, then you are shit!

Of course, that's a character of a wee club that can't even have sold out tickets in their biggest game in club's history. It is funny that this wee club wants to expand the stadium.

If you can't have a full capacity (60k seats) versus Barcelona (today 46k only), it is stupid to think of expanding the stadium. I guess the expansion is for catering concerts space in Manchester!!!!

Hahahahaa. May be they didn't want to pay to see poorly performing Barca.

People pay only to see the best of the best.

BTW hivi Man Utd na Man City wanacheza lini?
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Yaani Pellegrini yuko so obsessed na Demichelis.

Kampanga tena mechi ya leo.
 
Back
Top Bottom