The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Umande umezidi naona kuna bosi mmoja kaingia na mwavuli pale kati
 
Mpira umeanza ila umande sijui niseme mvua inaleta athari kiaina pale etihad
 
Navas anateleza kidogo ndani ya 18 ya aston, naona mvua inazidi
 
Mci wanaonekana kupeleka mashambulizi sana dk hizi za mwanzo
 
Gooo laa, gooo gooo aaa hapana tena gooo laa, city wanakosakosa hapa
 
Aston kama wanaiga mchezo wa kina morinyo wa kupaki mafurushi
 
Kwa dalili za mchezo wa leo kuna uwezekano mci wakatoka sare na aston
 
Back
Top Bottom