The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

na nyinyi mshaanza kulialia...wakipaki basi libebeni mliondoe hapo!

Mkuu naomba kutangaza masilahi, mimi ni mdau wa man u ila hapa nipo kuleta updates tu kwa kua mimi ni mdau wa soka kwa ujumla wake.
 
Mci wasipofunga kipindi cha kwanza ndo basi tena ubingwa hawana maana vijamaa vinaonekana vitatumia mtindo wa morinyo kipindi cha pili
 
ndetichia hebu saidia updates hapa mi natoka kidogo nitarudi hivi punde
 
Last edited by a moderator:
Dk ya 39 bila bila naona kuna mchezaji wa aston anagaagaa hapa nadhani ni ktk kupoteza poteza muda kidogo
 
Back
Top Bottom