Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu naomba kutangaza masilahi, mimi ni mdau wa man u ila hapa nipo kuleta updates tu kwa kua mimi ni mdau wa soka kwa ujumla wake.
Samir nasriii goooo laaaa anakosa bao la wazi kabisa
hata mimi naombea kombe libaki MANCHESTER. come on CITIZENS
SS5 ngoja nijiliwaze huku walau kuna mpira wa maanaNimechungulia kidogo La liga naona real madrid kashabamiza mtu bao 1 kwa bila
huu ubingwa wa city wakutishiana na presha sio kabisa.. come on city..
Hiki kitimu nuksiiiii sana
huu ubingwa wa city wakutishiana na presha sio kabisa.. come on city..
Mi naweza kufa aiseee..mambo kama ya mwaka juzi sio kabisa