The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

City inabidi wabebe ndoo ili gerlad na suarez wakome kabisa, ahaa goooo bao la 2 kwa mci dk ya 71,
mci 2 - 0 aston,
Kigogo come back
 
Last edited by a moderator:
Kuna timu raha kweli kushabikia....toure miguu mirefu sana
 
8384a01a-00b2-460e-abcd-ad976d6ca9ad.jpg
 
Mvua inazidi kuwa kubwa hapa etihad ila kandanda linaendelea
 
Dk ya 76 mci 2 - 0 vila, dalili za city kubeba ndoo na kuwafunga kabisa midomo kina suarez na jeradi masifa
 
Aise kipa wa aston katapakaa magoli na tope mwili mzima yani amemulikwa na kamera hadi nikamwonea huruma
 
Fenandinyo anawekwa chini na inapigwa faulo, dk ni ya 81
 
Pellegrini kamtoa silva kamuingiza fernandinho....anamuonyesha Brendan Rogers nini cha kufanya ukiwa UNAONGOZA 2/3 kwa bila...
 
Back
Top Bottom