The Mboni Show

The Mboni Show

Nyanya mbichi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2011
Posts
3,716
Reaction score
2,218
Habari za muda huu waheshimiwa

Kama kilivyo kichwa cha habari hapo juu,nimejiuliza sana kuhusu hiko kipindi.Kwa anae fahamu


Inawezekana kikawa kipo ila muda wa show nikawa siko kwenye umakini kufuatilia.

Au kimekufa baada ya producer wake kufariki.
 
Si nasikia huyo Mboni alishachepuka na BabaWawili! Atakua kagombana na Mke mwenza mamawawili.
 
Mboni hayupo UK kwa Etoo kweli....................?
 
Back
Top Bottom