Nyanya mbichi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 3,716
- 2,218
Habari za muda huu waheshimiwa
Kama kilivyo kichwa cha habari hapo juu,nimejiuliza sana kuhusu hiko kipindi.Kwa anae fahamu
Inawezekana kikawa kipo ila muda wa show nikawa siko kwenye umakini kufuatilia.
Au kimekufa baada ya producer wake kufariki.