Alphani R Joseph
New Member
- May 6, 2024
- 4
- 0
Nimetumia jina MAMA SAMIA, Sina maana kubwa ya kumtumia kwenye maudhui yangu lahasha , Lakini kama kiwakilishi kuonesha kiongozi wa juu kabisa katika ngazi ya uongozi, Sawasawa na ningetumia jina
Joe Baiden Rais wa Marekani, Xi Jinping Rais wa China, Vladimir Putin Rais wa Urusi sawa sawa na ningetumia jina la Pope Francis au Elon musk CEO wa Tesla and Space X companies.
Ninukuliwe vizuri hasahasa katika kutaja majina hayo , simaanishi viongozi waa nchi, wadini au wa campuni au biashara pekee. Nina maanisha kiongozi yeyote wa juu katika kila ngazi ya jamii, katika kila sekta , katika kila taasisi, katika serikali, katika kila mashirika.
KIONGOZI lazima awe na picha halisi ya nchi anayotaka kuitengeneza, mafanikio anayotaka kuyafikia, matatizo anayotaka kuyatokomeza, mapana ambayo anataka kufika katika sehemu yake ya uongozi husika. Serikalini au Sekta fulani au Taasisi fulani au shirika fulani au popote pale amabapo yeye amesimama kama kiongozi wa juu zaidi ya wote.
NITAGUSIA ZAIDI SEKTA YA UTEUZI WA VIONGOZI TANZANIA NA NITATOA MAWAZO KUNTU NA MIFUMO AMBAYO NDANI YA MIAKA 5-20 TANZANIA ITAKUWA NI AINA HII YA NCHI.
Kwanza. VIONGOZI IMARA, WAZARENDO,SHUAPAVU, WACHAPAKZI,WENYE MISIMAMO, WATENDA HAKI NA WANAO HESHIKA ULIMWENGUNI.
PILI. RAIA WENYE ELIMU KUBWA, WAELEVU,WAZARENDO, WASIO MASKINI KABISA, WENYE FURAHA,WATIIFU,WATULIVU, WENYE MALENGO, WANAOJUA UELEKEO WA MAISHA YAO, WASIO WAVIVU NA WANAOJUA NAMNA YA KUTUMIA FURSA.
tatu. Nchi ilio endelea zaidi Africa , yenye uchumi imara na inayotoa huduma zote na bora kwa raia wake, miundombinu bora pia amani na utulivu mkubwa, nchi yenye demokrasia ya kweli duniani.
CHANGAMOTO ILIYOPO KATIKA UTEUZI WA VIONGOZI KWA SASA INCHINI
Uteuzi kwa kujuana (CONNECTION) , kufahamiana , kutoa rushwa, undugu, uteuzi wa maelekezo, udhaifu na ukosefu wa elimu kwenye bodi ya uteuzi, uteuzi kinyume na maarifa aliyo nayo mteuliwa na mteuaji.
HALI KAMA HII YA UTEUZI WA VIONGOZI INALETA MATOKEA HASI YAFUATYO.
1. Kiongozi kutokujua majukumu yake. Sasa kama kiongozi hatoelewa majukumu yake lini hatua za kiamendleo zitapigwa.kiufupi hapa hakuna kitacho fanyika.
2. kiongozi kukosa maono(vision) au taswria halisi ya wapi anelekea. Hali kama hii anapokuwa nayokiongozi ni hatari saana . mambo yakijiendesha yenyewe kutatokea harufu mabya ya rushwa na hasara tupu.
3. Maumivu makali kwa watu wa chini, kiongozi kukosa msimamo, rushwa, hudumaa mbovu za jamii, umaskini kwa taifa na raia wake , madeni . inanyima haki kwa watu wenye uwezo kushika nafasi, inanyima haki kwa watu wataalam husika kupata kitu walicho kisomea.
4. Na hatakama viongozi wa chini wawe wazarendo kiasi gani hawatoweza kufanya lolote , watishia kufukuzwa kazi na kushatkiwa endapo tuu wanapotaka kuleta ezalendo wao. hasahasa kama viongozi wao wa juu wamepatikna kwa naman hii.
5. Na kibaya zaidi viongozi waliopatina kwa namana ya hii watakuwa wanafanya mambo kuwaridhisha wale ambao wamewapa hizo nafasi, kiufupi watakuwa ni viongozi wanao fuata maelekezo badala ya kutimiza majukumu yao na kutenda haki.
Kiufupi viongozi wanaopatikna kwa namna hii ya uteuzi madhara yake ni makubwa saana na wanakuwa ni watu wa masilahi binafsi.
MFUMO HUU WA UTEUZI KWA NGAZI ZOTE HASA HASA KUANZIA UWAZIRI HAPA NCHINI KWETU UTACHANGIA UPATIKANAJI WA VIONGOZI SAHIHI NA SHUPAVU.
Mfumo huu nimeamua kuutoa bure, japo wasiwasi wangu mkubwa ni kwenye utekelezaji wake.
Kwa sasa mawaziri wanateuliwa kwanjia kama ya kufanya kazi serikalini kwa muda mrefu,
kufahamiana na raisi, kuwa mwanachama mkubwa wa chama tawala, kama ni waziri uliemaliza muda wako, tajiri mwenye pesa na pia umri mkubwa kidogo.
uteuzi huu unasababisha au ualeta viongozi mabinafsi, mafisadi na wasio kuwa na uelewa mpana na kazi anayoenda kuisimamia lakini pia wanakuwa hawana mano makubwa kwa matokeo chanya (great cause)
nini kifanyike .
Mfumo wa uteuzi wa mawaziri na nafasi zote kubwa za kuteuliwa ufanyike kwa njia ya mtu kuombaa. Nafasi zitolewe kwa wabunge wote na kwa raia wote wenye uwezo(kwa nafasi tofauti na uwaziri)
waombaji wote kwanza wawe na uelewa mkubwa sana na nafasi husika anayoitaka.
Halafu kila mtu andike maono yake yote ya nini anataka kuboresha na wapi au kiwango gani anataka kuicha sekta fulani muda wake ukiisha. Raisi aunde bodi maalumu ya wataalamu na wasomi na waelewa wa mambo yote wayapitie mawaazo ya kila alietaka nafasi ,wale wenye mawazo mzuri ,makubwa na nia dhabiti bodi imsaidie kumshauri raisi awateue.
Maana yake nini hapa.
kila sekta nchini itapata mtu anaeijua vizuri ,mwenyewe uelewa mkubwa sana na kikubwa zaidi anejua wapi anataka kuifikisha sekta husika.
hii itasabibsha
Mabadiliko makubwa sana yatafanyika nchini na mendeleo yataonekana lakini kikubwa wanaichi watarudisha imani tena na serikali yao ilipotea miaka kadhaa baada ya uhuru.
Kwa kumalizia
Bodi hii kazi yake haitaishia tuu kwa mawaziri lakini pia viongozi wote wanaoteuliwa kama wakuu wa mikoa, wilaya, wakurugenzi, magavana, makamishina, na vyeo vyote vya kuteuliwa. Pia bodi itakuwa ikifuatilia kwa makini kuakisi yale maono ya kiongozi endapo anayaishi pia bodi itakuwa na jukumu ya kumkumbusha na sio kumpangia au kumchonganisha na mteuzi wake.
kabisa bodi hiyo haito kuwa na mamalaka yoyote ya kumwongoza kiongozi huyo mbali na kukumbusha kuishi maono yake aliyo ya ainisha.
kikubwa zaidi
Raisi wa nchi lazima yeye awe naomo makubwa zaidi ,huku akihakikisha maono yote yanafanyiwa kazi ili kubadilisha muktdha wa taifa letu. kwahiyo kama viongozi wajao wataanza kuja na picha halisi ya nchi ndani ya vichwa vyao, ita rahisisha zaidi maboresho makubwa ndani ya nchi hii na kuchochea zaidi maendelea ya taifa kiujumla.
i draw it my self

Upvote
5