gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 3,915
- 6,272
Huwezi kufaulu mtihani darasani kea sala,yakupasa kusomaNakumbuka enzi hizo school nikiingia kwenye pepa nikipiga salamu Maria zangu 3 pepa likirudi ni Banda juu ya mlima yaan A ya 99.9 yaan hio 0.1 basi tu teacher kaona aibu kunipa 100 chini ya 100 na teacher anatangaza kabisa pepa langu ndio litakua marking scheme yake na ananiambia niwafundishe waliokula misuaki, wakiuliza Siri ya Mafanikio nikiwaambia nilipiga salamu Maria kabla pepa wanacheka, wajomba na wapwa zangu tusiache kusali rozali kuna maajabu usifikiri uongo