gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 3,915
- 6,272
Huwezi kufaulu mtihani darasani kea sala,yakupasa kusomaNakumbuka enzi hizo school nikiingia kwenye pepa nikipiga salamu Maria zangu 3 pepa likirudi ni Banda juu ya mlima yaan A ya 99.9 yaan hio 0.1 basi tu teacher kaona aibu kunipa 100 chini ya 100 na teacher anatangaza kabisa pepa langu ndio litakua marking scheme yake na ananiambia niwafundishe waliokula misuaki, wakiuliza Siri ya Mafanikio nikiwaambia nilipiga salamu Maria kabla pepa wanacheka, wajomba na wapwa zangu tusiache kusali rozali kuna maajabu usifikiri uongo
Bikira maria ana mamlaka gani!?.. acheni bangi nana!!Wewe unasema huku sio kule kwenye uzi wenu wa changamshambege huku uzi Mtakatifu msije mkachafua
Sala na kazi ningependa nikukutanishe na niliosoma nao wakusimulie kuhusu Mimi Ila ndio hivyo haiwezekani, Imani plus focus then concentrate unatokea kwenye Dunia nyingine kwenye hall mpo Wengi Ila unajiona km kwamba upo peke yako km huna C2 huwezi kunielewa unaona maluweluwe tuHuwezi kufaulu mtihani darasani kea sala,yakupasa kusoma
Na Wewe si uvute kwani umekatazwa? Mamlaka gani kila mtu ana Imani yake Wewe amini unachokiamini acha wengine waamini wanachokiamini km unaamini mibange basi kavute nenda kafanye yako upate A+Bikira maria ana mamlaka gani!?.. acheni bangi nana!!