The MMU Free P Silent Killer, Collector of Experience With MMU Women! The Autobiography!


teh teh....nimeanza kujichunguza mwenyewe..maana ''circumstancial evidence'' haiko conclusive...#suspectfree #innocenttillprovenguilty
 
Unajua mi nashindwa kuamini kama hii stori kweli? My name is piego... aka thomaso
Hebu niaminishe mkuu..

Mimi naomba nikuthibitishie...ingawa vitu vingi amevibadilisha ili watu wengi wasimfahamu...lakini hii story ni 95% true. Sijajua lengo la mwandishi ni nini kwa kweli ila ndo ivo yani dah!

dah!

dah!

dah!

The nigga is not serious!!!! ( Karucee, kuna ile inner voice inakuambia this story has something....)
 
Last edited by a moderator:

Hahahahaha mi nahangaika na walwaji kwanza..

Huyo mmoja in no time nitamjua tu..
 
Arif yani mi nisimjue tena? Labda kama mimi si babu ODM.

Kwa taarifa yako tushakaa naye Leo tuko hapa Pub siku ileee... unakumbuka?


Hahah babu I can swear to you hajawahi fika Leo Tupo Hapa! Dah huyu jamaa ni smart kinoma...


teh teh....nimeanza kujichunguza mwenyewe..maana ''circumstancial evidence'' haiko conclusive...#suspectfree #innocenttillprovenguilty

Halafuuuuuuu unajua ID yake siifahamu...but you smell fishy!!!!


Hahahahaha mi nahangaika na walwaji kwanza..

Huyo mmoja in no time nitamjua tu..

Mkuu achana na wote wanaokomenti huku...deal na walio online but perusing this thread,lol! utawapata wote mwandishi na waandikwaji! gadem...
 

95%???? Hapo umemshushia heshima lara 1.... Hii makitu ni ukweli kwa 100. Kama akiendelea kufichaficha ntamuomba kibali cha kupigwa ban nawataja wote hadharani....

Dogo kawafanya mbaya hawa wamama.... Namwonea huruma yule wa ...... ngoja nimstahi kwanza.
 
Last edited by a moderator:

Naomba urafiki na wewe
 
Last edited by a moderator:
Aisee! Tuko sawa hadi baasi, mimi pia nawataka haohao kwanza.
Me baadae huko!

Huyo mmoja najua wewe utakuja na jina lake..

Ulishamtangazia kule juu kuwa wewe ni mpya humu haha
 
:smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big:
 

mi nna 99% ya hii ukweli
maana nature ya wadada naifahamu haswa na hutu tuualimu twangu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu achana na wote wanaokomenti huku...deal na walio online but perusing this thread,lol! utawapata wote mwandishi na waandikwaji! gadem...

mkuuu unaangalia wapi watu wanaoperuzi thread bila kuchangia
 
Ngastukaaaaa machale kundesaaaaaaaaaaaaaaa amazing kama hujui kusoma hata picha huelewiii au hata kinyago huelewiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii hahahahahahahahahahahah daaaaaaaaaaaaah rahaaaaaje
 

hahahahahaha what a coincidence???

Kuna mmoja nilimdhania alafu namwona yupo lakini hajatia neno kwenye huu uzi..
 

Hahaha babu stori ni 100% true ila kuna chumvi na kuna kubadilisha maeneo, matukio ili kuepusha kufahamika na wengi...


ila kwa wanaume wa humu...!!!
mmmhhh aheri ya nyenyere kkkaaahh!!

Hey Hey geniveros, there are gentlemen here...let no this one nigga tarnish all the men in here!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…