The MMU Free P Silent Killer, Collector of Experience With MMU Women! The Autobiography!

hhhahhaaaaaaahhhaaa

kusutwa ndo habari ya mjini tena walete na keki juu na champaigne plus sare ya dira

mpapa wauze wenyewe kwa mr. biography...!!!
msuto wanileteeeer mie
weraaaaaaaa

lara leo nimekupenda mpk kumoyooo

We jipendekeze tu. Muda ukifika ukatajwa usikimbilie kwa babu kuomba msaada.
 
hhhahhaaaaaaahhhaaa

kusutwa ndo habari ya mjini tena walete na keki juu na champaigne plus sare ya dira

mpapa wauze wenyewe kwa mr. biography...!!!
msuto wanileteeeer mie
weraaaaaaaa

lara leo nimekupenda mpk kumoyooo

Teyyyynaaaaa!Acha wavune walichopanda.
Hahahaaa,leo kwetu sisi wambea ni sherehe!
 
Tatizo mmeanza fujo za kutaja taja watu! Mnahisi hisiiiii. Mnanitisha mjue. Nitakuwa simalizii namna hio.

TULIENI NISHUSHE BOMU LA MLOKOLE! IMEBIDI NIZIMUE ST ANNA KWANZA MTUMISHI WA MUNGU HUYU ANATUNHULIWA OOOOOOH! Acheni papara mfaidi mambo.

Leo bia tupa kule. ODM nafanya mapenzi na mahindi ya kuchoma
 
Huyo mhusika lazima yupo hapa anaassist kwenye hiyo search ya kumgundua silent killer...
 
Haya jamani tutulie tuache kuhisi hisi story iendelee. geniveros tupige kimya mwaya.
 
Last edited by a moderator:
lara 1 kumbuka kwenye blacklist wewe ni namba 2..so we tuzungushe tuuuuu..ila uturudishe hapo.

Afu wewe uwe an haya wanga wenzio wote wanapita kimya hapa naona umejisahau. This is not the dogs territory! Don't overstay your welcome. Sijasahau na genge lako mlinitukana.
 
Last edited by a moderator:
Lara soma pm yangu twafadhali kabla ya kuachia hiyo next episode.

Hahaaaaa! Okay ngoja niicheki kwanza.

Kiukweli hali imeanza kuchafuka humu ki autobiography ni nomaaa.

Naanza kupata shaka as a writer naweza kuholdiwa responsible. I might even be committing social suicide.
 
hahhaha naona ye anataka kujikwepesha makusudi

Hahaaaaa! Walaaaa! Itakuja tu shaka ondoa. He had no rights to ask me anything.

REJOICE WHILE YOU STILL CAN! Count down inaendelea.
 
Afu wewe uwe an haya wanga wenzio wote wanapita kimya hapa naona umejisahau. This is not the dogs territory! Don't overstay your welcome. Sijasahau na genge lako mlinitukana.

Sina genge wala duka..pia nasoma ninachojisikia kusoma hata usipotaka...we hata ukipanic mi ntaendelea kukukumbusha..
 
Heheheheheh

Kudadadeki....


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…