nshakusanya
yaani leo ijumaa murua
sijui washampiga biti hukoo!
daaahh!!
kanikata stimu
Mie lara tu ananikata stim hapa
Kwanza anatoa nusunusu wengine washachoka. Wanaupotezea huu uzi.
Usingizi wangu utakuwa muororoooo sana leo, luv you mingi
dogo huyu
madame mwanafunzi wako huyu...
tukimjua suspaa inamhusu
Yani hapa nawaza kuitisha bodi!
Mtoto afriti saaaaana huyu!!
Haaaaapo tu!
Ndo napokupendea!
Hupotezagi fursa!
Go ceaser go!
Uwiiiii nilikuwa nakunywa maji hadi yamenipalia mpenzi, how are you? Missed you big
Ulinifunza, nikafuzu...😀