The MMU Free P Silent Killer, Collector of Experience With MMU Women! The Autobiography!

Vijana wanafaidi ndio ila bhana hakuna marefu yasiyo na ncha.
Watakuja walimwage maana naona watu washakuwa inspired na hii story!

Ndo maana sipendi kukutana na wanaJF
 
Huyo mama anafaidi aisee



Dushe analamba na glossaries za 400,000 juu
 
Last edited by a moderator:
Sasa ndio mambo gani haya Avemaria bwana! Mimi nawe wa kufanyiana hivi kwakweli? Mie hata kama ananidanganya nimejiridhiaaaaa maana nicjetoka roho kwa kuyajua, teh teh teh

Ooopss!!! Mi nikajua unamjua Viol vizuri!lol
 
Last edited by a moderator:
Katongozaneni pm bhana hatutaki kuwa mashahidi, siku yakibuma ndio mje kuyaanika hapa hadharani tuwape ushauri.

Sasa tutongozane mara ngapi??? Vipi bwana bleiz mbona hili lakukaba koo?? Viol hebu toa ufafanuzi maana naona wanaanza kujitokeza mmojammoja
 
Last edited by a moderator:
Halafu nawe si una limama linakuitaga hensam humu?? Hahah

Aaaaaah! Acha tu wamuite hensam wangu maana kwa hilo tuu Mungu alimpendelea, so haina mbaya wakisifia huumbaji wa Mungu.
 

haya ndio yanayonifanya niiheshimu jf
 
Last edited by a moderator:
hahaaaa!! Siitaji mwenzangu

ok. Walimu kazn wanaheshimiana wazwaz. Hawana mazoea yanayopitiliza kama watenda kaz kweny kada zingne.

Kada zngne izo mkeo anapapaswa makalio, anabusiana tu na staff wengne kisa kwa maisha hayo atapata ofa ya lunch, atawekewa petrol kwa vitz yake, atapewa lift na vtu kn ivyo. Staff wanakuwadiana na dau linasomeka...dalali anachukua cha juu. Bei ya pu.ssy ya mkeo inadalaliwa kulingana na quality ya mvuto kwa mkware, pi wanaangali ni ofisi zpi unafanyia kazi na hadhi ya ofisi yako.

Hiyo ndo miradi ya wanawake kada zingne. Mishahara yao hunzisha site zao binafsi na kuwasaidia ndugu zake, akirudi homie amenuna, housegirl atafanya kila kitu, yey akioga tu ni kulala, ukimfuata on bed...oh...siko in mood. Asubh akienda job anawachekea staff na kuanika hips..maandaliz ya mizinga kwa atakayejipendekeza.

Yaan, kuna watu wameoana, lakn ukiwasogelea kwa karibu...unakuta kila cku wako too much serious..ajabu. Huwaoni kutabasamu wala kucheka! Wapo kwa ajili ya kutunza watoto tuu. NIMEWAONA WANA NDOA WA HIVYO KIBAO. Mwanamke snaonesha upendo kwa watoto huku anamsema vibaya mume kwa watoto wakati mume hayupo. Matokeo watoto wanampenda na kuwa karibu zaidi na mama....baba wakimuona wanamuogopa,wanakuwa kimya au wanaondoka wamuachie uwanja na mama yao.! HATAREE. Nawaona.

Wanawake!!! Namna hiyo mnawafanya men wengne waone km mwanamke ni wa ku-mlala tu afu unasepa. NA NDO HAO WANAOBUNI MIKAKATI YA NIMPATE nani na nani na nani kwa sh. ngap....

IZ THAT YOUR SERIOUS BUSSINESS NOW DAYS???
 

Mmmmh!! Ndoa ni suala pana sn ila watu huchukulia lelemama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…