The MMU Free P Silent Killer, Collector of Experience With MMU Women! The Autobiography!


Jamani its a free country katika story hii hakutajwa MTU, hisia , hisia sio nzuri. Watu wazima wako wengi.
 
Last edited by a moderator:
Hata sijui mwaya.Mimi pia nataka niifunge wakati wa Ramadan.Babe atanipigia simu tu,sitaki pm ya mtu.

Ikifika unikumbushe nikusaidie kufunga, chezea le futari
 
JF ni zaidi ya burudani... hahahahaha

Watu tupo hapa kama tunaangalia Cinema vile, tunasubiri matokeo after 90 Minutes..
 
acha basi wivu mpenzi,unakumbuka jana ulinifanyaje,kumbe unaumia pia

Uwiiiiiii nina wivu zaidi ya wivu wenyewe, hapa hadi natetemeka, jamani bae jsna yule si ni shem darling tu na wewe unalijua hilo?!! Alafu ww hunaga wivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…