The MMU Free P Silent Killer, Collector of Experience With MMU Women! The Autobiography!

The MMU Free P Silent Killer, Collector of Experience With MMU Women! The Autobiography!

lara 1 ya huyo mdada ishapitishwa.....ilete!

BTT: Ila humu watu ni washenzyyyy haijalishi hii story ni ya kutunga au true.
Nikikumbuka ile story ya kina Mentor na verossa lao, likaja saga la kina dalaber, mara wengine wakashitakiana madildo bila kusahau kipindi kile yule mkaka alojifanya KE akala pesa za watu kumbe ni lidume hahahahaaaa patamu humu aiseee and panatisha at the same time!

Na wewe mama mtu mzima humu unayetembeaga na dogodogo ipo siku watakuchojoa tu hadharani heheheeee yetu macho sie!

Teh teh teh hivi KOKUTONA kapita hapa jameni?
Njoo upite huku mwaya barabara imewekwa lami!

Jamani its a free country katika story hii hakutajwa MTU, hisia , hisia sio nzuri. Watu wazima wako wengi.
 
Last edited by a moderator:
JF ni zaidi ya burudani... hahahahaha

Watu tupo hapa kama tunaangalia Cinema vile, tunasubiri matokeo after 90 Minutes..
 
acha basi wivu mpenzi,unakumbuka jana ulinifanyaje,kumbe unaumia pia

Uwiiiiiii nina wivu zaidi ya wivu wenyewe, hapa hadi natetemeka, jamani bae jsna yule si ni shem darling tu na wewe unalijua hilo?!! Alafu ww hunaga wivu
 
Back
Top Bottom