The MMU Free P Silent Killer, Collector of Experience With MMU Women! The Autobiography!

The MMU Free P Silent Killer, Collector of Experience With MMU Women! The Autobiography!

Ahahahahahahahahaha....
lara 1 ....am sure u know why am laughing! Hahahhahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahah


Ah!

[Yaani wewe Tyta, Asprin, nifah na Steph Curry mkimjua huyu mtu ni nani nitawapa chochote kilichopo ndani ya uwezo wangu ila nawaapia hamtamjua kabisaaaaa labda mmoja wa hao wadada ajikute anaropoka. Na mpaka sasa hakuna hata mmoja wao aliye-comment kitu (hint)....cha maana muangalie kwenye ile list ya who is reading this thread]

Hahaaaaa
Nimejikuta nacheka
Mwee jf ni shida.
 
Last edited by a moderator:
Bora hao walioonyesha wapo kipesa zaidi,kuliko huyo aliyejishaua yeye ni true lv halafu baada ya kutongozwa anapiga vibomu!!
Kapata haki yake!!
Ila wanawake ni shida!!!!
Namuonea huruma huyo mwanaume ambae mkewe kaliwa!
 
Ahsante sana lara 1 kwa kunipa hii janjajanja..... Watu8 amsore mpwa... kuna kabinti itabidi nikatafune kwa kutumia ID yako. Endelea hivyohivyo kufunga PM yako ili lisije likagangaburuka.

Na hivi laramoko kashaniita mi ni lijendi wa MMU, naweza kusafira nyota yako au ya umaarufu wangu kukatafuna haka kabinti. Eshy m.s be prepared.... am cummmmming beibeeeeee.....
hahaaaaaa babu eeeh kwani we mbona nakukubali zaidi ya huyo Watu8... jitambulishe tu we ni Asprin then uone utakavokula tamu kiulainiii😂😂😂
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa nampendaga huyu babu sema tu basi ye hajuagi... mwambie buyu la asali lipo kwa ajili yakee
Aliyekudanganya sijuagi ni nani? We ndo hujuagi mi nakupenda zaidi ya unipendavyo.

Asanteee ndo mana nakupendaga huchelewii, chap come zile chobingo zetu tena uje without
Naja chapchap sana.... ole wako unichomeshe mahindi kama siku ile....:glasses-nerdy:
 
Screenshot_20240406_135515_Video Editor.jpg
 
Kumbe MMU ya zamani ilikuwa moto hivi. Ukiparamia mtu aliyeko humu tangu mwaka 2014 huko jua tu kuwa unacheza na mtu aliyepigwa na kuchezewa sana na mabaharia wa hapa MMU. Mnaoshobokea mademu wa hapa kazi mnayo 🙌🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️
Papa Zimepigwa sana jf na mabaharia wanapigiana pasi
 
Back
Top Bottom