The MMU Free P Silent Killer, Collector of Experience With MMU Women! The Autobiography!


Hahaaaaa
Nimejikuta nacheka
Mwee jf ni shida.
 
Last edited by a moderator:
Bora hao walioonyesha wapo kipesa zaidi,kuliko huyo aliyejishaua yeye ni true lv halafu baada ya kutongozwa anapiga vibomu!!
Kapata haki yake!!
Ila wanawake ni shida!!!!
Namuonea huruma huyo mwanaume ambae mkewe kaliwa!
 
hahaaaaaa babu eeeh kwani we mbona nakukubali zaidi ya huyo Watu8... jitambulishe tu we ni Asprin then uone utakavokula tamu kiulainiii😂😂😂
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa nampendaga huyu babu sema tu basi ye hajuagi... mwambie buyu la asali lipo kwa ajili yakee
Aliyekudanganya sijuagi ni nani? We ndo hujuagi mi nakupenda zaidi ya unipendavyo.

Asanteee ndo mana nakupendaga huchelewii, chap come zile chobingo zetu tena uje without
Naja chapchap sana.... ole wako unichomeshe mahindi kama siku ile....:glasses-nerdy:
 
Papa Zimepigwa sana jf na mabaharia wanapigiana pasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…