Kumbe MMU ya zamani ilikuwa moto hivi. Ukiparamia mtu aliyeko humu tangu mwaka 2014 huko jua tu kuwa unacheza na mtu aliyepigwa na kuchezewa sana na mabaharia wa hapa MMU. Mnaoshobokea mademu wa hapa kazi mnayo πππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈ