Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,416
- 12,618
kutokujiamini kubaya sana mwanaume anazunguuuuuuuuka kote huko yanini!!
Nina wasiwasi na wewe, kama vile hutaki hii story iendelee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kutokujiamini kubaya sana mwanaume anazunguuuuuuuuka kote huko yanini!!
anitaje tu amna tatizo
kutokujiamini kubaya sana mwanaume anazunguuuuuuuuka kote huko yanini!!
Nina wasiwasi na wewe, kama vile hutaki hii story iendelee!
ni mimi shanga toto la kichaga kiuno tumboni unachezea kidogo asahahu altezaSio huyo mwenye shanga kweli??
Sio huyo mwenye shanga kweli??
Hahah...umefikiria mbali sana mkuu...maana kama ni dimbwi la maji limetibuliwa sasa hadi lije kutulia wengine tutakuwa tushadedi kwa kiu...
....Nikaona kanapenda mastaa! Nikasema nikataka kumwambia mi The Boss, lakini nikajikuta tu nasema mimi Watu 8, the imposturee. Basi kipindi hiko Lara 1 anamsifia watu 8 hatariiii. Basi ananiuliza so kweli you are hot kama wanavosema kina Lara, those girls lazima wakutaje, haiishi siku. Namwambia why dont you find out for yourself?. Basi kakapagawaaa! Alivompanaa akaenda kuwauliza watu walioenda party huyu watu 8 yukoje? Akapata positive review, nitumie pichaa, nikamtumia yangu, akadataaa. Nacho shukuru Mungu ni watu 8 kafunga PM so there is no way ange m PM na kujua mimi ni imposture. Basi nikakatoa out, kamelgeaaa, nikasema hii hailali wala simpeleki home, nachukua room hapa hapa. Tumekunywa nikamwambia tuamie chumbani, akakubali, kazi ikaisha. Sema mambo hakajui wala nini masharti kibaoo, sishiki MIC, sijui nini. Aaaarggh! Kesho kani text Bae! WTF! Nikakaptezea mdogo mdogo. Nikamuuliza yule mchizi ile kazi ushaifanya? Yani kashamla yule demu? Mchizi akajibu kwa masikitiko kaniambia hawezi kukutuna coz yuko comitted na watu8 they are dating in a serious relationship! Hahahahaaaaaaaa! :lol::lol::lol::lol::lol:! Nikasema watu8 eeeeh? Wachaaaaa! huyu watu8 mshenzi kweliii, kakuzibia rizki! Akasema ndo hivoo. Watu 8 nisamehe kwa yote, na bi dada it wasnt wasnt the real watu8 it was me the silent killer, the imposture! Ila kiukweli haikuwa uungwana kufunga goli kwa mkono kama Pele.
haya maeWacha weeeeee!! Nitakuja unipe darsa
Damn!!! What the f worddddddd!!!!
ha ha ha ha lara 1 mimi nilivishwa shanga kiuno kipo tumboni bibi wee!..... kijana akalie wapi? kunyonya corn kuzuga tu kiuno hakiendi ha ha ahahahahaHahahahaaaaaaaaaa! Acheni fujo! miss chagga tunapanda gari moja kwenda Moshi, siwezi kumtaja, CUT HER SOME SLACK SHE IS SMART INDEED!
babu unapoelekea ni kusugua gaga tu:smile-big::smile-big::smile-big::smile-big:Mzee mwenzangu, leo lara moko lara 1 kafanikiwa kuniketisha chini kufuatilia umbea. Ukinusanusa hujamjua huyu chalii??
Mi nshamjua, si unajua mababu huwa tunapewa umbea na wajukuu??
lara tupe mambo pliiz@nifah@dinazarde@warumi
Huyo nifah hili litamfaa maana kwa udaku yule mtoto, hebu ukuje au huu wewe huupendi?
Kabisa kaka. Unless wale samaki wenye roho ngumu wawe wanarukaruka juu wavuliwe. Ila wale waoga wameshakimbilia mapangoni.