....Nikaona kanapenda mastaa! Nikasema nikataka kumwambia mi The Boss, lakini nikajikuta tu nasema mimi Watu 8, the imposturee. Basi kipindi hiko Lara 1 anamsifia watu 8 hatariiii. Basi ananiuliza so kweli you are hot kama wanavosema kina Lara, those girls lazima wakutaje, haiishi siku. Namwambia why dont you find out for yourself?. Basi kakapagawaaa! Alivompanaa akaenda kuwauliza watu walioenda party huyu watu 8 yukoje? Akapata positive review, nitumie pichaa, nikamtumia yangu, akadataaa. Nacho shukuru Mungu ni watu 8 kafunga PM so there is no way ange m PM na kujua mimi ni imposture. Basi nikakatoa out, kamelgeaaa, nikasema hii hailali wala simpeleki home, nachukua room hapa hapa. Tumekunywa nikamwambia tuamie chumbani, akakubali, kazi ikaisha. Sema mambo hakajui wala nini masharti kibaoo, sishiki MIC, sijui nini. Aaaarggh! Kesho kani text Bae! WTF! Nikakaptezea mdogo mdogo. Nikamuuliza yule mchizi ile kazi ushaifanya? Yani kashamla yule demu? Mchizi akajibu kwa masikitiko kaniambia hawezi kukutuna coz yuko comitted na watu8 they are dating in a serious relationship! Hahahahaaaaaaaa! :lol::lol::lol::lol::lol:! Nikasema watu8 eeeeh? Wachaaaaa! huyu watu8 mshenzi kweliii, kakuzibia rizki! Akasema ndo hivoo. Watu 8 nisamehe kwa yote, na bi dada it wasnt wasnt the real watu8 it was me the silent killer, the imposture! Ila kiukweli haikuwa uungwana kufunga goli kwa mkono kama Pele.